This company is much helpfull, congratulation Agrorange you make me proud of you.
Remigius Kabandwa
Nimeweza kuanzisha shamba langu la nyanya kwa kisasa zaidi na Agrorange, Asanteh san.
ila nashauri mjitahidi mfike na mikoa mingine mtakuwa mmekomboa Kilimo cha tanzania kwa kiasi kikubwa sana.
Malunda JR
Alooo, kama kuna wakati nafurahi ni wakati wa kufanya kazi na Agrorange mubarikiwe sana.